Wednesday, 1 August 2012

BUNGENI DODOMA LEO!

 Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof, Mark Mwandosya akitoa shukurani Aug,1,2012 kwa Serikali na Wananchi waliomuombea wakati akiwa mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kuhudhuria tena katika vikao vya Bunge ,mjini Dodoma.
 Mhe. Mwakyembe akiingia Bungeni leo asubuhi huku akiwa na mkoba wake wenye hotuba ya Bajeti ya Wizara yake.
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiongea na waandishi wa Habari kukanusha tuhuma za ulaji wake rushwa.

No comments:

Post a Comment